Karibuni kula wote

Karibuni kula wote

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675

Attachments

  • 1400055518369.jpg
    1400055518369.jpg
    33.8 KB · Views: 803
Last edited by a moderator:
mamboo gani haya lakini sio fair unaniathiri kisaikolojia
 
Naona hapo kababu za mayai,sambusa na huo ulojifichja ni mkate wa ufuta enheee?
 
Jamani mimi kidogo ni mshamba na kuuliza si ujinga haya mapishi kayapika nani ni kati ya dada utafiti na dada farkhina na kwa wote hawa kwa pamoja na wapa pongezi zao asanteni na allauu ibarik na mjaliwe maisha marifu na mpate waume wenye heri na muzidi kutuwonyisha zaidi mapishi yenu asanteni na usiku mwemma allam siik
 
Tobaaa huyo utafiti ni dume ivoo tena ni mkweo wangu lol....ahsante kwa dua njema mie mume nnae niombee tu dua tuzidi kupendana na watoto wawe wema..
 
Jamani mimi kidogo ni mshamba na kuuliza si ujinga haya mapishi kayapika nani ni kati ya dada utafiti na dada farkhina na kwa wote hawa kwa pamoja na wapa pongezi zao asanteni na allauu ibarik na mjaliwe maisha marifu na mpate waume wenye heri na muzidi kutuwonyisha zaidi mapishi yenu asanteni na usiku mwemma allam siik

Duh.....hii ID inaweza kua hakike kweli?
 
Haa haa hii menu nzuri sana lakini inawafaa watu ambao ni wembamba warefu,sasa nimewaza yule jamaa ambaye kaleta thread anasema yuko chuo na umri ni miaka 25 akila hii menu duh si mpododo utaongezeka zaidi ya sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom