Karibuni kula wote

Karibuni kula wote

mbona juice haipo .... na maji ya kunywa bila kusahau na tishu daaa hata maji ya kunawa tuuu... ndo unatukalibisha
 
Jamani mimi kidogo ni mshamba na kuuliza si ujinga haya mapishi kayapika nani ni kati ya dada utafiti na dada farkhina na kwa wote hawa kwa pamoja na wapa pongezi zao asanteni na allauu ibarik na mjaliwe maisha marifu na mpate waume wenye heri na muzidi kutuwonyisha zaidi mapishi yenu asanteni na usiku mwemma allam siik

Khaa...weee,omba radhi kiongozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom