Karibuni Kivukoni...Dar's 'International' Fish Market!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
_61339790_08_octopus.jpg

After the early-morning trading is done, the workers move to the other side of the market for a well-earned meal.

_61339791_frying.jpg

Ally Iddi, 32, is among those who cook up the fish. He has been in the job for 17 years and brings up three children on his wage.

_61339786_01_fish.jpg

Kivukoni is the biggest fish market in Tanzania's main city, Dar es Salaam. Fish are an important part of the diet for those Tanzanians who live near the country's long coast and many lakes. However, fishermen complain that huge, modern boats from Europe and Asia are taking most of the best fish from their country's waters

_61339792_08a_whitebait.jpg

Many of the traders and cooks sleep near the market in shelters made from tarpaulin and corrugated metal. They are trying to save money to buy land in their home villages.
 
_61339793_011_cauldron.jpg

There has been a market on the site for generations, though the current building is in need of repair after part of it was burnt down by the intense heat of the cooking pots.

_61339787_06_crowds.jpg

As part of the deal for its boats to fish in Tanzanian waters, Japan built the modern market, which embodies the hustle of the city, and employs about 3,000 people - including ice salesmen, boat repairmen, wood suppliers and traders.

_61339789_04_lad.jpg

Rajabu Mungi, 24, finished school five years ago and came to work on the boats. He earns about 8,000 shillings ($5; £3) each day.

_61339788_03_lads.jpg

Dozens of youngsters work on the boats, going out to sea in the early hours, and later carting the fish to the traders. In coastal areas, fish is much cheaper than meat but inland and away from the lakes where many people are animal herders, meat is cheaper and fish is seen as a delicacy.
 
Creating a market centre for fish at kivukoni was a vey good idea, however more emphasis should be made on hygiene. We are blessed with a variety of spieces that other regions dont have, this is also proved by the turn out of foreigners at the market. Sema uchafu sasa, dah!
 
Balazi Sato alivyokuwepo soko lilikuwa safi sana, na lilikuwa international indeed.

Tukaja Wabongo, sehemu ya kukaangia samaki ikaungua, mpaka sasa hakuna mpango wa kukarabati ili lirudi katika hali yake ya awali. Soko linaingiza hela kila siku sijui zinatumika kwa ajili ya nini?

Uchafu sasa no order of the day, pamoja na uwepo wa mabomba samaki wanasafishwa na maji ya bahari ambapo jamaa wakati mwingine wanajisaidia humohumo. Angali picha ya mwisho- zoezi la kusafisha samaki.

Wachuuzi wanakanyaga maboksi yenye samaki na wanaona sawa tu. Wanaopaa samamki kukanyaga kwenye meza za kupalia ni kawaida sana kwao, yaani ni hatari kwelikweli.

Jiji au mamlaka husika inabidi watoe elimu ya afya
 
Mara ya mwisho kwenda kununua prawns huko soko la samaki nilijuta kwa jinsi kulivyojaa uchafu uliokithiri....Yaani nilishaamua kutaka kuondoka ila mzazi akaniomba tu tuendeleee na manunuzi.
 
Ile harufu pale sokoni duuhh!.......ni ngumu kuizoea aisee..........
 
_61339793_011_cauldron.jpg

There has been a market on the site for generations, though the current building is in need of repair after part of it was burnt down by the intense heat of the cooking pots.

_61339787_06_crowds.jpg

As part of the deal for its boats to fish in Tanzanian waters, Japan built the modern market, which embodies the hustle of the city, and employs about 3,000 people - including ice salesmen, boat repairmen, wood suppliers and traders.

_61339789_04_lad.jpg

Rajabu Mungi, 24, finished school five years ago and came to work on the boats. He earns about 8,000 shillings ($5; £3) each day.

_61339788_03_lads.jpg

Dozens of youngsters work on the boats, going out to sea in the early hours, and later carting the fish to the traders. In coastal areas, fish is much cheaper than meat but inland and away from the lakes where many people are animal herders, meat is cheaper and fish is seen as a delicacy.

Nasikia wale wenye mionzi sasa wanauzwa hapo kwa bei nafuu
 
Mara ya mwisho nilifika Kivukoni mwaka 1994; kwa hiyo sijui leo panafananaje. Ila kulingana na picha ulizoweka hapo, sioni kama kuna mabadiliyo yoyote ya maana. Kuwa msongamano mkubwa sana wa watu na mazingira yake ni mchafu kama ilivyokuwa wakati huo. Ninadhani kuwa uchafu huo unatokana zaidi na msongamano wa watu, lakini nisichojua ni kwa nini watanzania tunapenda sana misongamamno ya watu. Hebu angalia ukiwa mitaani, hasa Kariakoo, utashangaa misongamano ilivyo; inawezekana kuwa inatokana na imani yetu potofu kuwa maana ya mji ni msongomano. Ni vigumu hata kwa polisi kumfuatilia mhalifu ndani ya misongamano ya aina hiyo, na likotokea jendawazimu moja na bunduki likarusha risasi hovyo hovyo kama hilo lilitokea huko Colorado, basi litaua watu wengi sana mitaani mwetu.
 
Hivyo vidagaa vyeupe nimevitamani, yaani ni longtime silawala. Hii sehemu sijawahi kufika.
 
Yaani nimesikia na harufu ya hiyo area, :wacko:
na unajua sababu ni offals kutupwa Baharini? Waste disposal ni kizungumkuti.
i went there once, hizo fungus za miguuni niliona kwa wahudumu zilitosha kunikimbiza maxima! Siongelei harufu iliyo suffocating. I never went back!
 
huwa najiuliza shombo ya hoa fish yote mkuu wa nchi huwa anaivumiliaje.

anyway I have fallen in love with those dagaas
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom