Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Watoto kumi na Moja? Km timu ya mpira? Aya tunakuja nao!
Watoto kumi na Moja? Km timu ya mpira? Aya tunakuja nao!
Watoto kumi na Moja? Km timu ya mpira? Aya tunakuja nao!
nisaidie kaka staki arukeruke ka pop corn
hahahahaha na bado mnaongeza wengine kazi ipo
Nguvu tunayo na uwezo tunao so msipate hofu yoyote
Inabidi atume hela ya kukodia hiace mume wangu....
Niletee kazawadi nifurahi uone kz!
Inabidi atume hela ya kukodia hiace mume wangu....
Zaeni mkaijaze nchi! Nchi bado haijajaa Aisee!
hahaha kaka ada ya nursery ni 1m nyie jazeni tu
Acha kuwaogopesha wenzio shule za kata si zipo?watasoma hizo hizo st.kayumba
hahahahaha na bado mnaongeza wengine kazi ipo
Nakuja kuwachukua na noah yangu au haitatosha?
njoo ukionje kitamuje
Kwa raha zetu....tumeshazaa timu ya Chelsea saiv tunaanza ya Arsenal
Acha kuwaogopesha wenzio shule za kata si zipo?watasoma hizo hizo st.kayumba
utafiti mi naumwa Tangu tufungwe na Newcastle au miss neddy hajakuambia?