Hii tabia si nzuri watu tuna njaa tunasubiri saa sita tupige 2 in 1
hahahaha wiii acha uongo upige two in one ntuzu yu wapi
Amenitelekeza atii
kisa nn tena...........
kisa nn tena...........
Nakusalimia!
Huyo wifi yako anakuzingua bhana! Hapa kwenyewe tuko wote tunakula kiporo cha ndodo!!!
We naee mi nlikuwa namvuta karibu nimpige mzinga lol
karibu sana, hadi ukoko upo wa kutosha...
kumbe na wewe ni memba wa pasi ndefu
Nakusalimia!
Huyo wifi yako anakuzingua bhana! Hapa kwenyewe tuko wote tunakula kiporo cha ndodo!!!
Unagia Kali za mizinga! Aya miss neddy mi naumwa...! Niko hoi wiki sasa ata kibaruani siendi!
hahaha nishawashtukia mizinga naipiga stop hadi mwakani kaka