Karibuni jama ndio ninakula casava hiyo na kachumbari

Karibuni jama ndio ninakula casava hiyo na kachumbari

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
1607060_455609291205367_2067671065_n.jpg


Mdogo wangu farkhina tafadhali njoo tule...............................
 
Last edited by a moderator:
hilo diko hatarii
nahisi nna kama gunia mia za cassava tumboni tangu nianze kula cassava..
 
mkuu MziziMkavu mbona mihogo yako inaonekana mikavu sana, sio ile ya kupasuka? raha ya mihogo iwe milaini bwana, unaipasua kati afu unanyunyuzia kachumbari
 
Last edited by a moderator:
Hiv hapo utakuwa na nguvu zakiume Kweli? Shwain
 
Hii inaitwa chipsi dume,nimeila sana kinondoni studio kwa mama Aziza (R.I.P)
 
mkuu MziziMkavu mbona mihogo yako inaonekana mikavu sana, sio ile ya kupasuka? raha ya mihogo iwe milaini bwana, unaipasua kati afu unanyunyuzia kachumbari

Kwani umekaribishwa? Lol tena nimepika bagia njoo uchukue

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaah! Mkuu MziziMkavu mi hata usiponikaribisha nitakaribia tu, maana umenikumbusha mbali sana, enzi nasoma A-level Kwiro kuna vibanda karibu na shule walikuwa wanaiuza, basi ilikuwa ni desturi tunanunua na inatoa mchana halafu ukishakula unafanya update na maji tu
 
Last edited by a moderator:
Kwani umekaribishwa? Lol tena nimepika bagia njoo uchukue

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hahaha, zapilipili ana? Mie zangu za pililili

Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2
 
Back
Top Bottom