Karibuni harambee ya ujenzi wa library arusha sec, mgeni rasmi mh edward lowasa (mb)

mamayeyo

Senior Member
Apr 4, 2012
167
132
Wadau wa elimu karibuni kwenye harambee tajwa hapo juu. Lengo ni m300. Watu wote waliowahi kusomea Arusha Sec, walimu wote waliowahi kufundisha pale na wadau wengine wooote karibuni tuchangie ujenzi wa library kubwa ya kisasa vijana wetu wapate elimu bora. EL ni miongoni mwa watu waliosomea Arusha Sec. Harambee ni leo Jumamosi tarehe 19/01/2013
 
Back
Top Bottom