babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,313
- 20,901
We Kima achana na marehemu pumbavu wewe mtu akili zako za mafi mafi tu,nani alikuonyesha hata kwamba kuna JF home of great thinker unaelewa maana yake.Hela za wastaafu aliziiba akaenda kujenga utopolo wake.
Na ibaki magofu tu hio hotel kwa laana za wastaafu.
Mungu fundi sana aiseeYaan kipindi kile yuko hai nikawa nawasikia watu wanasema chato itakuja kubaki kama ule mji wa mobutu nilikua siamini aseee! Ila sasa nimeamini dunia hadaa walimwengu shujaa! Siamini kama hata wale machawa wake washamsahu na chato ishasahaulika tayar! Hiv zile taa za barabaranzina hali gan? Yaan nataman kufunga safar nikaangalie hali halisi! Nahis limebak kaburi lake tu ndo zuri
Mungu fundiAcheni kunitafuta, vifaa vyote vilivyotumika kujenga ni vya hapahapa Tanzania, wanyama ni wetu sote na hela za kujengea ni za ndani* sasa shida iko wapi!
MshambaJamaa alikua hana taste ya vitu vzr kabisaaa.
Govi lamuwashaMkuu, achana naye huyo! Kisha VURUGWA!
Cha tambiko Kama la Kwa Msisi!View attachment 2008191
Hicho ki veranda kwenye duara ni cha kazi gani?
BurigiYaani niache kwenda Serengeti, Mikumi au Ngorongoro kutazama wanyama eti niende Chato ni kituko
We binti naona umelishwa mavi mabichi asubuhi asubuhi.We Kima achana na marehemu pumbavu wewe mtu akili zako za mafi mafi tu,nani alikuonyesha hata kwamba kuna JF home of great thinker unaelewa maana yake.
Gorilla we kutoka milimani huko Congo usitutafute ubaya maana hapo ulipo tupo tutakupata tu msengerema wewe mjaa laana.
Na humu uondoke huhitajiki mavi yako.
Nadhani mwendazake angekuwepo chattle ingekuwa imeanza mchakato wa kuwa taifa huru...Chatu kumefulia kwa sasa hapana issue
Kitakua ni kidust bin unatumia kama chupa za maji ivi from down ukiwa unapitaView attachment 2008191
Hicho ki veranda kwenye duara ni cha kazi gani?
🖕🐒We binti naona umelishwa mavi mabichi asubuhi asubuhi.
Kaswaki kwanza,uvae na pedi then urudi jukwaani uchumishwe mboga.
Tulia Nanga nikutoe tope.
Ujinga huu,kwani mafisadi wanaoiba hua hawatoi ajira hapa Tz kwa wananchi.Tusiwashughulike basi kwa sababu ni wadau wa maendeleo na wanalipa Kodi.Vyovyote vile awe ameiba au hajaiba ila amejenga Tz na ajira wamepata watz Haina shida kabisa ila sio wale wanaiba wanaenda kujenga nje ya nchi
Acha maneno yako mkuu,Magufuli alikuwa mwizi aliyejificha kwenye kivuli cha uzalendo
Yeye ndie alikua muasisi wa roho hizo za chuki, alikua anajifanya mnyonge kumbe anawachora tu.Acha maneno yako mkuu,
Mtu mwenye hadhi ya urais kumiliki kidubwasha hicho ndio iwe stori?
Mtu huyo huyo ambaye alishakua mbunge na waziri kwa zaidi ya miaka 25?
Nnachokiona hapa Ni kampeni ya chuki dhidi yake kwa wasiokua wanampenda
Sawa huyu kaenda zake, basi tujadilini ukwasi wa mbaki zake wa awamu ya nne tujionee maajabu ya dunia
[emoji1787][emoji1787]Nadhani mwendazake angekuwepo chattle ingekuwa imeanza mchakato wa kuwa taifa huru...
Then ule mchakato wa kule uzuzuni wa "atake asitake ungekamilika " chattle ingeanza mchakato wa kuwa CHATO CONTINENT; ikiwa na nchi kama mbogwe, kakonko, muleba, Ngara, biharamulo, na katoro.
- Hakika lingekuwa mfano Duniani
Sasa kwanini alikua anajifanya anawachukia matajiri kumbe na yeye landlord aiseeAcha maneno yako mkuu,
Mtu mwenye hadhi ya urais kumiliki kidubwasha hicho ndio iwe stori?
Mtu huyo huyo ambaye alishakua mbunge na waziri kwa zaidi ya miaka 25?
Nnachokiona hapa Ni kampeni ya chuki dhidi yake kwa wasiokua wanampenda
Sawa huyu kaenda zake, basi tujadilini ukwasi wa mbaki zake wa awamu ya nne tujionee maajabu ya dunia