Karibuni Chato Zoo and Hotel

Hiyo ni hoteli ya magu na aliijenga waziwazi jamani wala hakuficha,hebu tumwache apumzike

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ziko 8 mkuu...huyu jamaa alikuwa mpigaji balas
Aseee akiwa rais anajenga hotel? Yaan kwa akili yake alidhani hotel ni biashara ya hadhi yake? Kweli ni mwenzake tu! Nyingine ziko wap pengine siku nibahatike kulala kwanza usikute mzim wake huwa unaztembelea
 
Hahah na alikua anajifanya ni mzalendo mara ni kiongozi wa mama ntilie na bodaboda,mara nyingine alikua anajifanya ni kiongozi wa malaika.
[emoji2][emoji2][emoji2] alikua anabadilika badilika kama kinyonga kulingana na mahali alipo
 
Kumbe nae alikua anaupenda utajiri sasa kwanini alijifanya anawachukia sana matajiri na kwamba anawapenda sana masikini?
 
Alijitahidi kuvunja unjam kaskazini, wanasiasa, matajiri, uchumi, bureude change na banks, viwanda na mashamba ya maua, mbogamboga ,na kuuwa soko na Kenya!!
Bado hali haijakaa sawa tuomve Mungu tuu wapendwa!!
 
Bado miaka michache huo mlima barafu inaisha. Tuone sasa mtakacholingia. Mlima mlima ! Hadi mnakera. Chato ni wilayani na pataendelea kuwa mji na huenda iko siku itaizidi Moshi ambayo imedumaaa na ardhi hakuna.
Huo Ni wivu Sasa, hakua Moshi ufaidi kukaa karibu na Kilimanjalo,
Nani kinehe?!
Mvoba hawajatamani ziwa Victoria likauke?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…