Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,500
Kumbe watalii wanaenda?Hapa nasikia ndio wizara zilipeleka warsha,semina na makongamano kipindi Cha Mwendazake.
Ni hoteli ya kisasa ambapo mtalii unaweza kujionea wanyama mbalimbali kama swala pala, zebra , nyumbu ngiri na jamii ya wanyama wengi wala majani.
Ipo katika eneo lenye takribani hekta 1200.
N:B msiniulize mmiliki ni nani maana simjuwi.View attachment 2008177View attachment 2008178View attachment 2008179View attachment 2008180
Jamaa alikua mpigaji sana. Nasikia gari hapo kukodi ni elfu 50000 mbali na entrance fee.Hapa nasikia ndio wizara zilipeleka warsha,semina na makongamano kipindi Cha Mwendazake.
Waliedit ramani ina maana hapa kulikua na mpango Kama wa pembeni hapoView attachment 2008191
Hicho ki canopy kwenye duara ni cha kazi gani?
View attachment 2008191
Hicho ki veranda kwenye duara ni cha kazi gan
Refugee iyo incase of fumanizi.View attachment 2008191
Hicho ki veranda kwenye duara ni cha kazi gani?
Mimba yake itakutesa sanaMagufuli alikuwa mwizi aliyejificha kwenye kivuli cha uzalendo
Majizi wenzake mnamteteaMimba yake itakutesa sana
Mkuu kuanzisha zoo haina shida mtu yeyote anaweza kuanzisha tu bila shida na hao wanyamapori unauziwa kawaida kwa maana utapewa kibali ni biashara rasmi ndani ya Tanzania na kama kuna Mtanzania anahitaji kufanya hii biashara aende Wizara ya Maliasili na Utalii atapewa utaratibu mzima so kuwa Chato au mmiliki katoka wapi sio issue labda useme vibali sio sahihi.Ni hoteli ya kisasa ambapo mtalii unaweza kujionea wanyama mbalimbali kama swala pala, zebra , nyumbu ngiri na jamii ya wanyama wengi wala majani.
Ipo katika eneo lenye takribani hekta 1200.
N:B msiniulize mmiliki ni nani maana simjuwi.View attachment 2008177View attachment 2008178View attachment 2008179View attachment 2008180
😆View attachment 2008191
Hicho ki veranda kwenye duara ni cha kazi gani?
Tukiwatania wasukuma wanakasirika.View attachment 2008191
Hicho ki veranda kwenye duara ni cha kazi gani?