Karibuni Chama kipya cha Siasa - Arusha Declaration Alliance

Status
Not open for further replies.
Hiki ni chama cha WAZAWA wenye uchungu na nchi hii, tumejikita na kujipambanua katika misingi ya Azimio la Arusha. Chama kinajiendesha kwa michango ya Wanachama, pia tumejikita kwenye Tumejikita katika kilimo .

*** SALAMU: AZIMIO LA ARUSHAAAA.....
TUNAITIKIA: NI LETU SOTEEEE>>>>> huku ukishika kidevu
 
Tunatafuta wanachama wa kukidhamini chama tunachotaka kukisajili hivi karibuni jina la chama (tunapendekeza kiitwe - Arusha Declaration Alliance kinachofuata misingi ya Azimio la Arusha. Tafadhali tukutane;

MUDA: 02 Juni, 2016 kuanzia saa 8 mchana

UKUMBI: RAMADA ENCORE HOTEL, City Centre, Opposite Exim Tower (Posta Mpya) - Dar es Salaam.

MGENI WA HESHIMA: JULIUS MALEMA (MB) kutoka Afrika ya Kusini
MAWASILIANO: +255 654 828025 (Ms. Warda - Kaimu Katibu Mwenezi & Mr. Frank - 0715734747 Kaimu Mweka Hazina)

NB: T-shirt, Kofia, Khanga, Chakula, Vinywaji na Nauli (Tshs. 30,000/=) vitatolewa kwa watakaohudhuria
Watakao kufadhili ukumbi,chakula,kofia,n.k wanatosha kuwa wafadhili wako milele kwani pesa itakayotumika na kumlipa Malema ktk gharama zote ni kubwa mno.
 
ukawa mna wivu; acheni na wenzenu wafungue biashara zao bwana. mbona kariakoo kuna maduka ya nguo kibao na wote wanauza na kupata riziki. ni Mungu ndie anapanga riziki sio binadamu
 
kwa nini kuwe na utitiri wa vyama? si muungane na wengine ktetea taifa? transprt fare ni kiduchu kwa wa far, kubwa ka wa karibu, tafakari upya hii fare
 
Tunatafuta wanachama wa kukidhamini chama tunachotaka kukisajili hivi karibuni jina la chama (tunapendekeza kiitwe - Arusha Declaration Alliance kinachofuata misingi ya Azimio la Arusha. Tafadhali tukutane;

MUDA: 02 Juni, 2016 kuanzia saa 8 mchana

UKUMBI: RAMADA ENCORE HOTEL, City Centre, Opposite Exim Tower (Posta Mpya) - Dar es Salaam.

MGENI WA HESHIMA: JULIUS MALEMA (MB) kutoka Afrika ya Kusini
MAWASILIANO: +255 654 828025 (Ms. Warda - Kaimu Katibu Mwenezi & Mr. Frank - 0715734747 Kaimu Mweka Hazina)

NB: T-shirt, Kofia, Khanga, Chakula, Vinywaji na Nauli (Tshs. 30,000/=) vitatolewa kwa watakaohudhuria
Arusha Declaration Alliance then utegemee kiwe cha kitaifa! Jina Arusha litawafanya wa Mikoa mingine wajione kubaguliwa
 
Tunatafuta wanachama wa kukidhamini chama tunachotaka kukisajili hivi karibuni jina la chama (tunapendekeza kiitwe - Arusha Declaration Alliance kinachofuata misingi ya Azimio la Arusha. Tafadhali tukutane;

MUDA: 02 Juni, 2016 kuanzia saa 8 mchana

UKUMBI: RAMADA ENCORE HOTEL, City Centre, Opposite Exim Tower (Posta Mpya) - Dar es Salaam.

MGENI WA HESHIMA: JULIUS MALEMA (MB) kutoka Afrika ya Kusini
MAWASILIANO: +255 654 828025 (Ms. Warda - Kaimu Katibu Mwenezi & Mr. Frank - 0715734747 Kaimu Mweka Hazina)

NB: T-shirt, Kofia, Khanga, Chakula, Vinywaji na Nauli (Tshs. 30,000/=) vitatolewa kwa watakaohudhuria
mkuu sisi wa mikoani hamuwezi kufanya utaratibu wa kuturushia nauli ili tuungane kuikomboa nchi yetu
 
Hiki ni chama cha WAZAWA wenye uchungu na nchi hii, tumejikita na kujipambanua katika misingi ya Azimio la Arusha. Chama kinajiendesha kwa michango ya Wanachama, pia tumejikita kwenye Tumejikita katika kilimo .

*** SALAMU: AZIMIO LA ARUSHAAAA.....
TUNAITIKIA: NI LETU SOTEEEE>>>>>
Haha hii salamu yenu imenichekesha saana.
Kuna wadau wanatoka Kyaka wanataka kuja kuzindua chama chenu, hebu watumie nauli.
 
Wa Mkoani tutapanga ratiba kuwafuata mlipo. Tangazo hili linawahusu wakazi wa Dar tu
 
:-mwl jkn reformation party.
:-salamu-azimio la arushaaaa
:-kiitikio-ndilo pekee litakalotuondoa katika unyonge,rushwa,ufisadi na ........!?
jkn name has power countrywide.
 
Wale mikoani na Dar City Centre wasiliana na WAWAKILISHI wetu;
Mwanza, Ms. Tina: 0719747965
Morogoro, Ms. Salma Bonge 0719688419
Dar City Centre, Ms. Jack 0718984718
 
Watanzania hawana haja na vyama njaaa, watanzania wanataka maendeleo,
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom