Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Chama cha Wanywa Viroba hicho labda!!Malengo ni kushinda viti angalau 80% uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu 2020. Karibuni sana.
Chama cha Wanywa Viroba hicho labda!!Malengo ni kushinda viti angalau 80% uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu 2020. Karibuni sana.
Ha ha mkuu umenichekesha sana.kwanini tushike kidevuu na siyo kichwa au sikio?Hiki ni chama cha WAZAWA wenye uchungu na nchi hii, tumejikita na kujipambanua katika misingi ya Azimio la Arusha. Chama kinajiendesha kwa michango ya Wanachama, pia tumejikita kwenye Tumejikita katika kilimo .
*** SALAMU: AZIMIO LA ARUSHAAAA.....
TUNAITIKIA: NI LETU SOTEEEE>>>>> huku ukishika kidevu
Kati yenu kuna wakaskazini wangapiKaribuni sana, tuikomboe nchi yetu pendwa Tanzania kwa pamoja. Tumedhamiria kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu 2020.
Mbona mmeishagawana vyeo vyote?Tunatafuta wanachama wa kukidhamini chama tunachotaka kukisajili hivi karibuni jina la chama (tunapendekeza kiitwe - Arusha Declaration Alliance kinachofuata misingi ya Azimio la Arusha. Tafadhali tukutane;
MUDA: 26 Novemba, 2016, Jumamosi, kuanzia saa 8 mchana.
UKUMBI: RAMADA ENCORE HOTEL, City Centre, Opposite Exim Tower (Posta Mpya) - Dar es Salaam.
MGENI WA HESHIMA: JULIUS MALEMA (MB) kutoka Afrika ya Kusini
MAWASILIANO: +255 654 828025 (Ms. Warda - Kaimu Katibu Mwenezi & Mr. Frank - 0715734747 Kaimu Mweka Hazina)
NB: T-shirt, Kofia, Khanga, Chakula, Vinywaji na Nauli (Tshs. 380,000/=) vitatolewa kwa watakaohudhuria tu.
LIDUMU AZIMIO LA ARUSHA