DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,970
Sawa kidusi umesikikaWe saa zote unamuota mwaname mwenzio, kimbolaa weee
Sawa kidusi umesikikaWe saa zote unamuota mwaname mwenzio, kimbolaa weee
Duuuuuuuu hii itakuwa chama cha freemason. Hela yote hiyo mmetoa wapi.[/QUOTE][QUOTE="bushland, post: 16034903, member: 277utumia tiketi ya ndege kabisa, utalala hoteli nzur kabissa
Jing.a we liccm na chama kipya wapi na wapi??? Nyie si hamtaki upinzaniWe endelea kukaa huko mafichoni ukiwa unategemea Kuna mtu atababaika Na wewe mmoja
Eee bhana mkuu Mwigamba , shule basi tena ? nauli wekundu watatu ! natafakari itakavyokuwa mkuu .Tunatafuta wanachama wa kukidhamini chama tunachotaka kukisajili hivi karibuni jina la chama (tunapendekeza kiitwe - Arusha Declaration Alliance kinachofuata misingi ya Azimio la Arusha. Tafadhali tukutane;
MUDA: 02 Juni, 2016 kuanzia saa 8 mchana
UKUMBI: RAMADA ENCORE HOTEL, City Centre, Opposite Exim Tower (Posta Mpya) - Dar es Salaam.
MGENI WA HESHIMA: JULIUS MALEMA (MB) kutoka Afrika ya Kusini
MAWASILIANO: +255 654 828025 (Ms. Warda - Katibu Mwenezi)
NB: T-shirt, Kofia, Khanga, Chakula, Vinywaji na Nauli (Tshs. 30,000/=) vitatolewa kwa watakaohudhuria
Mmh uzii unachanganya...
hiyo 30000 ya nn wakati ubadai tshirts na kofia na kanga vitatolewa..au na 30 itatolewa pia??
Poa kiazi mwenzangu nimekuelewa na nitafika hapo.sjui ww kiazi utakuwepo?We ni kiaz kweli hyo 30 elf ni fair aka nauli

ACT imeingiaje hapo!!Hata uzinduzi wa ACT mgeni mwalikwa alikuwa JULIUS malema lakini mwisho wa siku hakutokea.
MALEMA...ACT imeingiaje hapo!!
Bwege weweMALEMA...
Haya Kachukue buku saba yako!..Mission imekamilika!Bwege wewe
Eti mkuu nani yuko nyuma yenu??Tunatafuta wanachama wa kukidhamini chama tunachotaka kukisajili hivi karibuni jina la chama (tunapendekeza kiitwe - Arusha Declaration Alliance kinachofuata misingi ya Azimio la Arusha. Tafadhali tukutane;