Karibuni chakula, nimeakiandaa mwenyewe

Karibuni chakula, nimeakiandaa mwenyewe

Ahsante, endelea tu, naogopa kufanya choo, chakula kikavu mno hicho!
 
hongera Mkuu, ila aliyemchinja huyo kuku alimuonea kweli, ndo uchinjaji gani huo aisee.
 
Hicho chakula itakuwa ni sharti la mganga ili upate utajiri maana inahitaji ujasiri kukitumia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kilichotupwa kutoka kwa huyo kuku ni manyoya na mifupa
 
Back
Top Bottom