Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,212
- 85,331
Kuna ujuzi hapo au unacheka tu
Kuna ujuzi hapo au unacheka tu
Ingeenda jukwaa la Jf chef au Jf photos ingependeza zaidi, uwe unamuuliza madam nanihii ni mzoefu humuMaandalizi yetu waanaume huwa hakina mvuto na hakimpi mtu mwingine hamu ya kula. haya karibuni
View attachment 878798
Mkuu, Hiyo iko poa sana. Baadaye usisahau kushushia na ile kitu yetu pendwa.Maandalizi yetu waanaume huwa hakina mvuto na hakimpi mtu mwingine hamu ya kula. haya karibuni
View attachment 878798
ukitaka kula huo msos lazima uwe *_bandidu_* maana sio kwauyo kuku anavyotia huruma..Maandalizi yetu waanaume huwa hakina mvuto na hakimpi mtu mwingine hamu ya kula. haya karibuni
View attachment 878798
Apetite imesoma zero! Mkuu vp supu umelimwaga?Maandalizi yetu waanaume huwa hakina mvuto na hakimpi mtu mwingine hamu ya kula. haya karibuni
View attachment 878798