Karibuni CCM mpate raha duniani

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,225
Jamani ngojeni wape wazo moja zuri sana ambalo mnapswa kulichukulia
kwa jicho la tatu. Hakuna chama cha siasa kwa hapa bongo ambacho unaweza
jiunga nacho ukapata raha kama chama cha mapinduzi.

Yaani "its totally stress free party" , kwahiyo kama unataka ustawi wa afya ya mwili na akili
karibu ujiunge na chama kubwa CCM.

Hapa mzee Hassan Dalali aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu ya Simba akiwa ndani ya uzi wa kijani na kuserebuka kwa raha zake.
upload_2017-5-20_16-58-48.jpeg
upload_2017-5-20_17-0-57.jpeg
upload_2017-5-20_17-0-44.jpeg
upload_2017-5-20_17-0-36.jpeg
upload_2017-5-20_17-0-18.jpeg
upload_2017-5-20_17-0-8.jpeg
upload_2017-5-20_16-58-56.jpeg
 
CCM ina wenyewe bwana.. Jana nilikuwa kwenye msiba wa rafiki yangu mmoja wa CCM nikawa naona tu kada huyu kaja na Range Rover kule kada yule kaja na VX V8 mara mwingine kaja na Prado TX.. Hao ndio wenye CCM wakati wengi wa wanaowapa kula na kura ni wajinga fulani wasio na elimu wala exposure zozote..
 
HELA ZA RAMBI RAMBI WANAFANYIA PARTY. ZITAKUWA RAMBI RAMBI ZA KAGERA HIZO. WALIPIGA MTONYO MREFU
ccm wanavyanzo vingi sana za pesa.
1.rambi rambi
2. Increment za watu
3. Fao la kujitoa-pesa imeingia ccm
4. Wanafunzi wa chuo wamepingwa panga, pesa imeenda kwa ccm
5. Ajira huyu mshenz kakataa kutoa pesa anatumbua na makada zake
kwann wasifanye party?
Huku kilo moja ya sukari 2800, mwanaccm ananunua kwa 1800.
*ADUI WA MAENDELEO TANZANIA
-CCM
-UJINGA
-MARADHI
-UMASIKINI
 
Ukweli mmeukubali kwamba ninyi ni "wabugiaji nguli" wa rambirambi. Mtapata baridi ninyi na vizazi vyenu.
Afu sijui kwanini CDM kama chama cha siasa kimekosa hoja ya ki siasa mpaka kuamua kukimbilia rambi rambi. Aisee nyie ni fungu la kukosa..
 

CCM ina wenyewe bwana.. Jana nilikuwa kwenye msiba wa rafiki yangu mmoja wa CCM nikawa naona tu kada huyu kaja na Range Rover kule kada yule kaja na VX V8 mara mwingine kaja na Prado TX.. Hao ndio wenye CCM wakati wengi wa wanaowapa kula na kura ni wajinga fulani wasio na elimu wala exposure zozote..
Wanaowapa kura wanaleweshwa ulanzi,pilau na mziki wa tot
 
images
kweli ccm raha sana jamani
Hii picha niya kumdhsririsha huyu mtoto.unamtumia km kielelezo cha umaskini.lkn naamini wewe mawazo yako ndio ya kimaskini.aina hii ya maisha ss ndio tumekulia na kuchunga ng'ombe.lkn leo hiyo imebaki kuwa ni historia.uvivu wako wa kuchapa kz na ugoigoi wa kufkili mbinu sahihi za kikutoa ndoo unakufanya uendelee kuwa maskini na fukara.endelea kuisubilia ccm ikuletee neema.kalagabaho.endelea kulalamika.mchawi wa maisha yako ni wewe.sio ccm.
 
Back
Top Bottom