Hapana siijui mie labda unijuzeNitampelekea akaonje kwanza kisha nami nitafuata siri ya kungu waijua weye
hahaha umeona eee hatargahawa siyo ya mchezo mchezo
Sawa mkuu ngoja ije ,ila kwema kiongozi??Naomba,kahawa yangu uchanganye na tangawizi,kashata situmii.
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
ooooh...!! Swahiba umeamkaje uko utokakoWanabarza kwema hapa??
kwema mkuu.Wanabarza kwema hapa??
MorningNilipita kila kona kukutafuta, nikahisi nimeibiwa moyo umetulia kukuona.
Woyo woyo watu na wake zaoshemeji yenu keshafanya yake...
hii ni mubashara kabisa JovithaWoyo woyo watu na wake zao
Morning wang wapi day nzima sijakupeza machoni.Morning
kwema ?Barazani weekend ndio inasoma hivyo.
hapo lazima shavu likutoke aiseeshemeji yenu keshafanya yake...
jirani kwema??Morning
aaaah sana hata mm naonahii ni mubashara kabisa Jovitha
Si Kwema..... Binamu umempeleka wapi?Wanabarza kwema hapa??
hahaha leo unaniulizia Binam ,hahaha ndo ujuwe yule wangu ngoja ntamuita ajeSi Kwema..... Binamu umempeleka wapi?