mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,915
Hii haijakosa mteja... Ishanunuliwa... Huna haki ya kufuatilia kwa nyuma.mtu kula chake naye unamwesabia ,mimi nimeanzisha biashara ya ndizi ikakosa mnunuzi nikawa nakula mwenyewe utaniita mwizi??