karibun kwenye best driving school niliyofungua

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,335
189586_2_jpg156005c5baf40ff51a327f1c34f2975b.jpeg

wote mnaotaka kujifunza mnakaribishwa,kwa mawasiliano pigeni 0714
 
Hii imeshakuwa mang'ana, kuna kujifunza kuendesha gari au kusukuma gari.
 
Gari langu la mwanzo kununua ilikua ni BITO ni gari nzuri sana sema ilipoanza kuchoka jamani nyie wacheni tu yani nikiingia baa lazima nitafute urafiki na mtu japokua simjui sasa malizia mwenyewe ni kwanini nitafute urafiki na mtu nisiyemjua na bia yangu moja lazima nimnunulie!
 
Ili akusaidie UTU wake wakati wa kuwasha peoples car Mkuu Ndallo
 
Back
Top Bottom