Wacha waisome nambaeeee
Ccm mbele kwa mbele
Haka ka wimbo hakachuji kabisa.una hamu nikuchambeeee nikikuchamba utaliaa
una hamu nikuchambeee nikikuchamba utazimiaaa.....



Ubarikiwe Kiongozi...Asante Kwa ukarimu wako Na kutunga shairi murwaa
Na mie kila siku ningekuwa naku Miss...Whooaaaa nlivofurahii ungekua karibu ningeku kiss
Ubarikiwe Kiongozi...
Wewe na Familia yako uendelee kuwa Mwongozi...
Mwenyezi Mungu kwako wewe awe Mwokozi...
Uwe mwenye furaha tele na si Majonzi...
AAMIINAmeen mkuu.Dua hili liwe Kwa sote,
Mentor njoo huku uje kusoma shairi lako mubashara kabisa!una hamu nikuchambeeee nikikuchamba utaliaa
una hamu nikuchambeee nikikuchamba utazimiaaa.....


Naona unataka kunigombanisha na asali wa moyo wangu ili um over takeMentor njoo huku uje kusoma shairi lako mubashara kabisa!![]()
Kasinde nimekupenda bureNampenda mpenz wangu katu simwachiii
Mtasemaa mtachoka hatokiii
Nampendaa mpenz wangu katu simwachiii
Mtasemaa mtachoka hatokii
Mnataka kunitia mshawaaashaaa
Fikira zeenu hazipandi wala hazishuki
Bure hiyoo
Nampenda kwa vyovyotee simshukuuu
Naeleza nyotee muueeleeeweee
Lalalalalallaaa Lalalalalallaaa
Lalalalalallaaa lalalalla
........................
Raha ni raha ni hizi si raha za kuigizaaa
Raha mimi na mpenzi yote tushayatimiiizaaa
Kubaliniii mtupe zote poongeziii
Tumeshindaa na bado twaongezaaa
Nakupenda mpenz wangu Smart911
Kasinde nimekupenda bure
Sifa kibao nishasema, yote sababu nimezamaNampenda mpenz wangu katu simwachiii
Mtasemaa mtachoka hatokiii
Nampendaa mpenz wangu katu simwachiii
Mtasemaa mtachoka hatokii
Mnataka kunitia mshawaaashaaa
Fikira zeenu hazipandi wala hazishuki
Bure hiyoo
Nampenda kwa vyovyotee simshukuuu
Naeleza nyotee muueeleeeweee
Lalalalalallaaa Lalalalalallaaa
Lalalalalallaaa lalalalla
........................
Raha ni raha ni hizi si raha za kuigizaaa
Raha mimi na mpenzi yote tushayatimiiizaaa
Kubaliniii mtupe zote poongeziii
Tumeshindaa na bado twaongezaaa
Nakupenda mpenz wangu Smart911
hahahaha najaaaa!Karibu buree
Sifa kibao nishasema, yote sababu nimezama
Uzuri wako ndo unazidi nipa homa
Haki ya nani mi nitakatia bima
Mi sisikii napata raha
Nitasubiri more honey
Na sioni, baby karaha
Long time nimedata nawe
[Pre-Chorus]
Wajua kwako mi mtoto tu
Na jina lako nitachora tattoo
Ushanifit changu kiatu
Wajua baby vile I love you
Wajua kwako mi mtoto tu
Na jina lako nitachora tattoo
Ushanifit changu kiatu
Wajua baby vile I love you
[Chorus]
Baby, mamii jina gani ni sawa?
Nikuite nani, darling?
Tell me, kwako ikawe dawa
[Verse 2]
Kama zawadi nitakupa dunia, uitawale mama we (eiyeh)
Mfano wa bahari juu mamii naelea nimejifia kwako we (eyeh)
Ukamilishe uzima wangu, ukamilishe na nyumba yangu
Ukawe amani ya moyo wangu milele eyei yei
[Pre-Chorus]
Wajua kwako mi mtoto tu
Na jina lako nitachora tattoo
Ushanifit changu kiatu
Wajua baby vile I love you
Wajua kwako mi mtoto tu
Na jina lako nitachora tattoo
Ushanifit changu kiatu
Wajua baby vile I love you
[Chorus]
Baby, mamii jina gani ni sawa?
Nikuite nani, darling?
Tell me, kwako ikawe dawa
[Bridge]
Mboni yangu ina jina lako wewe
We jela yangu nimejifunga mwenyewe
Watose wote sitopenda uchezewe
Nakudhamini mimi
Mboni yangu ina jina lako wewe
We jela yangu nimejifunga mwenyewe
Watose wote sitopenda uchezewe ehee
[Chorus]
Baby, mamii jina gani ni sawa?
Nikuite nani, darling?
Tell me, kwako ikawe dawa
I love you Kasinde
hahahaha najaaaa!