Ni bei inayoendana na mpango kazi inaendana na utanzania wetu inayoendana na uchumi wa sasa wa nchi.
Karibu mkuu
Business Plan au Project proposal bei zake hutofautiana kwa namna yake.Kwahiyo haiwezi kuwekwa hapa hiyo bei sio?
Hongera sana kwa hatua hiyo...Tutafute kwa namba hapo juu ili tuangalie namna gani tutafanikisha hilo...Bei zinatofautiana na aina ya mpango biashara tutakao andika.Nataka kuanzisha mradi wakilimo Cha ufuta na kusindika kupata mafuta ya ufuta. Bei gani?
Business Plan au Project proposal bei zake hutofautiana kwa namna yake.
Kuna mtu anataka aandikiwe business plan kwa ajili ya kuangalia performance ya biashara yake mwenyewe.
Kuna watu wanaandikiwa business plan kwa ajili ya kufungulia biashara zao kama sehemu ya attachment haina maana yoyote kwake.
Kuna watu wanaandikiwa business plan kwa ajili ya kuomba mkopo bank.
Kuna watu wanaamdikiwa business plan kama sehemu ya kumbukumbu ya biashara zao...Archieve.
Bei haziwezi kuwa sawa kwa aina za hao watu hapo juu. Ukiwa na uhitaji fanya uni pm ama tutafute kwa namba hapo juu...Tukuhudumie,..Asante.
Wasalaam wanajamvi.
Kutokana na kupewa grace period ya miezi sita na serikali ya Tanzania. Vijana wengi wanajihusisha na biashara kadha wa kadha na makampuni pia.
Tunakukaribisha PM kwa serious custom tu ili tukuandikie mpango biashara na mradi uweze kufaidika na uwekezaji wako wa namna yoyote ile.
Tuko na uzoefu wa kutosha kabisa katika kuandika kazi hizo kwa bei ya mnyonge(mlala hoi).
Tunaomba utupe kazi na sisi tukuhudumie hii ni kwa biashara.
1. Zinazoanza
2. Zinazoendelea
3. Zitakazoanza
Na miradi ya aina yoyote ile hasa ya vikundi, Amcos,Saccos n.k
Tunapatikana kwa namba hii 0621153240
Tutafute muda wowote ule 24/7.
Asanteni na karibuni sana.