rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,947
- 5,857
Wakuu habari za leo.
Kama Kuna mtu ana wazo la kulima ufuta, mahindi, kunde and the like Nina eneo la ekari 6 Kabuku.
Nataka kuotesha malimao lakini apatikane mtu wa kulima masika na vuli mpaka malimao yakue then yanafanyiwa budding.
So mtu atakayepatikana ataingia cost za kusafisha shamba ndio alime.
Pia ni sehemu nzuri ya ufugaji wa kuku , Bata, mbuzi , kondoo na sungura wa kitoweo.
Maji ni uhakika. Ukichimba MITA 4 tu maji kibao na hayana chumvi Wala magadi. Fresh kabisa kwa matumizi yote.