Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

ila sjaona utofauti kati ya ordinary na higher coz vyote ni vinasomwa miaka miwili
...also ningependa unitajie ni vyuo vipi vinavyotoa hgher diploma
Anaemaliza form four then akaomba diploma kama ana vigezo hiyo ni ordinary,anaemaliza six akaomba diploma hiyo ni higher ambayo zaman ilikuwa advanced dip.Kama hujaelewa hapo sina namna tena.

Vyuo vipo kibao lakini sijajua unataka vya course IPI?.
 
kozi ya sheria
 
Kuna course moja iko Sua inaitwa rural development iko poa sanaaa nayo inakufaa Kwa hgl
 
Hata UD atapata tu program ya kusoma. Mbona wapo wengi wenye divisheni tatu zao pale UD....Ishu ni achague zile program zisizokuwa na ushindani mkubwa.

Ila angalizo: Mtaani siku hizi hawaangalii umesoma chuo gani...hivyo ajitahidi kusoma program inayoonyesha itakuwa na mahitaji kwa miaka mitatu au minne ijayo.

Hivyo kazi kwenu vijana....Sisi wengine tayari tumevuka huu mtihani.
Naomba msaada pls ntazitambua vp program zenye ushindan na zilzokua hazina pls pls pls
 
Back
Top Bottom