Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

Kasoma CBG na kapata E,D,D respectively akasomee kozi gani? ushauri wanajamvi tafadhali
 
Hata E ni principal pass ila E lazima ibebwe na C ili kufikia japo point 4 ambayo ni minimum qualification.
hapana mkuu wao sio wajinga mimi pia afahamu principal pass ni a b c d hata cheti cha form six kimeandikwa kabisa. kwa BRN principal pass ni a b b+ c
 
Kasoma CBG na kapata E,D,D respectively akasomee kozi gani? ushauri wanajamvi tafadhali
chem na bio itamsaidia ualimu. kozi za afya asahau kabisa kule wanachukuliwa pcb zilizosimama. labda aende agricuter sua ila nako sio kuzuri anaweza graduate mwaka wa kwanza, forestry, food science nutritions na IT nipe amba yake tuchonge
 
kwa anaefahamu jamani.....
mim nimepata Div. III ya 16 form six kwenye combination yangu (CBG) nina F, E, D sasa vipi nitapata chuo??? au hata ualimu???
 
Naomba kueleweshwa kuhusu Advanced diploma, muda, Ada zake na pia kama naweza kuendelea na degree nikimaliza.
 
Back
Top Bottom