Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

Ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hivi dogo mwenye III ya 16 Diploma anapokelewa maana kuna kichwa kishazingua huku! au arudie tu mtihani alisoma PCM
 
Jamani msaada

Chemistry-E
Biology -C
Geography-D

Akasome nini huyu jamani?

Je? Biotechnology anaweza soma? Nursing je?

Au ipi kozi ya mifugo.
Mawazo
 
Hivi dogo mwenye III ya 16 Diploma anapokelewa maana kuna kichwa kishazingua huku! au arudie tu mtihani alisoma PCM
Diploma wanaangalia matokeo ya Form IV kwahyo atapokelewa tu kama matokeo yake ya Form IV ni mazuri basi ondoa shaka kabisa
 
Form matokeo mazuri ila nilitamani apate direct entry chuo kikuu. Nawaza arudie mtihani.
Akirudia mtihani atajisumbua tu,kuna watu nawafahamu walirudia mitihani mwishowe wakapata matokeo yaleyale ikabidi waende diploma huku washapoteza mwaka mzima
 
Msaada kidogo, binti ana 2 ya 10, ECA, ana C za Economics na Commerce na D ya Accounting. Kozi gani nimshauri ya kusoma na Chuo?
 
Back
Top Bottom