Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

Kijana wangu amepata
Division three 14 form six (Songea Boys hhkk)
Chemistry-S
Geography-E
Biology-C
Siwezi kumsomesha Diploma,ada ni kikwazo.
1.Je,anaruhusiwa kurisiti mtihan 2017?
2.Nakama anarusiwa taratibu zikoje?
MSAADA TAFADHALI
 
KE_PCM_ECE point 13,sijui watamchagua au ndio tumftafutie genge la nyanya maana pesa ya diploma hamna?
KE_PCM_ECE point 13,sijui watamchagua au ndio tumftafutie genge la nyanya maana pesa ya diploma hamna?
Yaani TCU hawataki kuona E kati ya masomo 2 yanayohesabiwa point hata kama ana AEE chuo atakisikia kwa wenzake.
watamchagua tu aisee, najua TCU watatoa ufafanuzi zaid, AEE sawa na 6 points, naona tuwe na subira tusubr tamko na TCU guide book
 
watamchagua tu aisee, najua TCU watatoa ufafanuzi zaid, AEE sawa na 6 points, naona tuwe na subira tusubr tamko na TCU guide book
Nikweli mkuu ngoja tusubili yani mtu awe na DDF sawa na point 4 aende chuo.Halafu mwenzake awe na AEE ana point 7 asiende chuo,haya yatakuwa maajabu mengine duniani.
 
Wakuu hiv madogo wenye dvn IV form six watapata pa kwenda? Maana naona mambo yamebadilika Sana mwaka huu..!!
 
Kijana wangu amepata
Division three 14 form six (Songea Boys hhkk)
Chemistry-S
Geography-E
Biology-C
Siwezi kumsomesha Diploma,ada ni kikwazo.
1.Je,anaruhusiwa kurisiti mtihan 2017?
2.Nakama anarusiwa taratibu zikoje?
MSAADA TAFADHALI
Apo si ana point nne kwa maana ya C na E mbona chuo anaenda tu maana TCU walisema point 4
 
I stand to be corrected nilichoelewa mimi ni two principles na uwe na point 4 wakatoa mchanganuo kwamba A 5,B 4, C 3, D 2 na E 1..wangekua hawataki E wasingeieka kama ina point 1 kwa maana hiyo basi mtu mwenye A na E atakua na point 6 na hivyo kukidhi vigezo...correct me if am wrong
Mkuu ngoja tusubili guide book,na ndugu zangu wawili mmoja ana CEE comb ya PCM ni binti,na mwingine ana AEE ni mvulana.But kwa tarifa nimezosoma kwenye web ya TCU wanataka mtu awe na D mbili.Kwa maana kuwa mwenye DDF ana point nne ataenda chuo.Lakini mwenye AEE ana point 7 hatoenda chuo,haya kiukweli ni maajabu.Ngoja tusubili guide book tuone muongozo wao.
 
Back
Top Bottom