Amna kitu kama icho. Tafuta guide book ya HESLB usome.na hata UkiwA na D 2 bado mkopo hupati pia
Kwa sayansi wangeshusha hata kidogokwa matokeo haya ya kidato cha sita basi tutalijie vyuo vingi vikikosa wanafunzi na kubadili matumizi au vikifungwa kabisa hasa, mfano wanafunzi wengi walisoma sayansi wengi wana div.three ya ya 15 so vyuo kama SUA, BUGANDO, KCMC, IMTU, n.k vitakosa wanafunzi, na hatimaye vitafungwa na hatimaye watafugia kuku, serikali ijaribu kuliangalia hili kwa kina sana na mapana yake wasiangalie sana Arama alizopata mtu bali wa focus kwenye uwezo wa mtu.
Endelea kujipa moyoTusubiri kitabu cha muongozo(guide book)hizo taarifa kuna mahali zimekanushwa..nashauri Usiendelee kusambaza
Mkuu DDE au ECE ndo div 3 ya 13 so anaenda mana ana cut off points 4Hawezi kwenda chuo kikuu hana D 2
Ingia TCU website ujionee muongozoTusubiri kitabu cha muongozo(guide book)hizo taarifa kuna mahali zimekanushwa..nashauri Usiendelee kusambaza
Hakuna kitu kama hcho, minimum score ni Dwakuu naombeni ufafanuzi kidogo kwa mjibu wa tangazo la tcu wanataka aliyehitimu kidato cha sita awe principle passes mbili yaani awe na D mbili, sawa na cut point 4, hivi kama una c na E na na cut point zikafika 4 chuo unaenda?
we hujasoma kumbe, kwanza hata hio D 2 kupata chuo ni probability piaAmna kitu kama icho. Tafuta guide book ya HESLB usome.
Suala sio kujaza vyuo tu, ni lazima turudi kwenye misingi itakayorudisha hadhi ya elimu yetu. Kwani kuna wahitimu wangapi mitaani ambao hawaajiriki?kwa matokeo haya ya kidato cha sita basi tutalijie vyuo vingi vikikosa wanafunzi na kubadili matumizi au vikifungwa kabisa hasa, mfano wanafunzi wengi walisoma sayansi wengi wana div.three ya ya 15 so vyuo kama SUA, BUGANDO, KCMC, IMTU, n.k vitakosa wanafunzi, na hatimaye vitafungwa na hatimaye watafugia kuku, serikali ijaribu kuliangalia hili kwa kina sana na mapana yake wasiangalie sana Arama alizopata mtu bali wa focus kwenye uwezo wa mtu.
Diploma chuo gani ,ni muda gani na gharama zake zikoje mkuu???
Vp kuhusu masuala ya "EQUIVALENT QUALIFICATION"
mfn.Mtu ana teaching certificate na amepata DIV 3 pt 16,combination HKL =SCF GPA 3.5.
Huyu mtu atapata nafasi ya kujoin degree programme?