ndiyomkuusana
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 668
- 426
Hio biogas ni kwaajili ya matumizi ya nn?MITAMBO YA BIOGAS
Karibuni , Tuwajengee mtambo wa Biogas kulingana na Mahitaji yako, iwe nyumbani, mashule, Bar, . Mitambo hii inatumia vinyesi vya wanyama, Kama ,ng'ombe, kuku,kondoo na wanyama wowote wafugwao .
Gharama:
Gharama zetu zinategemea na aina na ukubwa wa mtambo unaotaka na mazingira ya Eneo ambalo mtambo utajengwa.
Tunajenga mitabo kuanzia 8metrecube, 15 metrecube, 21 metrecube, 30 ,45, 50,60 ,100,200 metre cube.
Karibuni.
Tunapatikana Pugu Dar es salaam, Pia tunafika Mikoni Popote ndani ya Tanzania
Unaweza kutucheki ,piga simu au Whatsapp +255686124826 au 0624987746
NimeshakuwekeaGharama ni muhimu sana , ungesema bei ni kati ya ________ na_________
AHio biogas ni kwaajili ya matumizi ya nn?
Hii Ni kwa ajili ya kupikia na kuwasha taaHio biogas ni kwaajili ya matumizi ya nn?
MITAMBO YA BIOGAS
Karibuni , Tuwajengee mtambo wa Biogas kulingana na Mahitaji yako, iwe nyumbani, mashule, Bar, . Mitambo hii inatumia vinyesi vya wanyama, Kama ,ng'ombe, kuku,kondoo na wanyama wowote wafugwao .
Gharama:
Gharama zetu zinategemea na aina na ukubwa wa mtambo unaotaka na mazingira ya Eneo ambalo mtambo utajengwa.
Tunajenga mitabo kuanzia 8metrecube, 15 metrecube, 21 metrecube, 30 ,45, 50,60 ,100,200 metre cube. Kwa mtambo mdogo wa mita cube 8 gharama Ina range Kati ya mil. 6 mpaka mil 7. But gharama halisi itapatikana baada ya survey ya Eneo Husika
Karibuni.
Tunapatikana Pugu Dar es salaam, Pia tunafika Mikoni Popote ndani ya Tanzania
Unaweza kutucheki ,piga simu au Whatsapp +255686124826 au 0624987746
Ni kwa mfumo wa gesi ya mitungi au?? Vip kuhusu vibali vya mamlaka husika?M
A
Hii Ni kwa ajili ya kupikia na kuwasha taa
Tanesco lazima aseme naoNi kwa mfumo wa gesi ya mitungi au?? Vip kuhusu vibali vya mamlaka husika?
Si lazima bei juu??Tanesco lazima aseme nao