Kampuni ya EDADE'S Decoratiion, Catering, Cake, MC na muziki inakukaribisha wewe mteja kukuhudumia kwa gharama nafuu kabisa haijawahi tokea na huduma zote ni za uhakika na zakuvutia hatubahatishi. Mapambo yanaanzia 350,000/- Unasema mwenyewe unataka upambiwaje.Vyakula vya aina zote, hata vya nje ya nchi unatuambia tu nchi gani na aina ya menu uitakayo.Menu ya chini kabisa tunaanzia 7,500/- Ina vyakula vyote muhimu vya kwenye sherehe, unatuambia tu tukuandaliaje. Keki nzuri kabisa za kisasa bei ya chini ngazi tano ni 250,000/- Ukitaka chini ya ngazi tano pia zipo na bei inashuka.Zaidi ya ngazi tano zipo unatuambia tu unatakaje.Tuna Miziki mikubwa kabisa na ma MC wa kike na kiume wazuri kabisa unachagua tu mwenyewe muziki wa aina gani na MC wake. Bei ya chini ya MC na Muziki ni 450,000/- .
Huduma hizi zinapatikana mkoa wa Dar es salaam.Tunafika pia mikoani kwa ongezeko kidogo la fedha.
Karibu tukuhudumie popote Dar es salaam.
Tunapatikana Banana na sabasaba maonyesho.
Mawasiliano: Simu ya kiganjani: 0655441943 Karibuni sana kwa
hudumu Murua na zakisasa kabisa
Huduma hizi zinapatikana mkoa wa Dar es salaam.Tunafika pia mikoani kwa ongezeko kidogo la fedha.
Karibu tukuhudumie popote Dar es salaam.
Tunapatikana Banana na sabasaba maonyesho.
Mawasiliano: Simu ya kiganjani: 0655441943 Karibuni sana kwa
hudumu Murua na zakisasa kabisa
Attachments
-
IMG-20161207-WA0029.jpg96.7 KB · Views: 42
-
IMG-20161207-WA0015.jpg57.3 KB · Views: 55
-
IMG-20161207-WA0011.jpg27.1 KB · Views: 38
-
IMG-20161207-WA0010.jpg79.5 KB · Views: 71
-
15400583_1423701967670637_3244242232108293810_n.jpeg23.9 KB · Views: 58
-
15380419_1423702071003960_5710897184762998933_n.jpeg38.4 KB · Views: 43
-
IMG-20160806-WA0007.jpg77.2 KB · Views: 40
-
15400910_1423702817670552_1800228527298968819_n.jpeg28.2 KB · Views: 50