Karibu Tujadiliane Kuhusu Freedom of Expression in Tanzania. Are We Free To Express Ourselves? .

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
52,681
119,317
Wanabodi

Karibu Tujadiliane kuhusiana na Freedom of Expression in Tanzania.

Tuko kwenye ukumbi wa British Council ambapo Taasisi ya Policy Forum imealika watu mbalimbali kulizungumzia hili.

Mada kuu mbili zitawasilishwa
Presentation 1: Freedom of Expression: Legal Framework, By Anna Henga from Legal and Human Rights Centre (LHRC).

Presentation 2: Freedom of Expression: Situational Analysis, Paul Malimbo from Media Council of Tanzania (MCT)

Kisha imefuata discusion by Dr. Ally Possy - Lecturer at the Law School of Tanzania na Maria Sarungi-Director at Compass Communications Co. Ltd Tanzania.

Miongoni mwa waliohudhuria ni Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Zuberi Kabwe.

Karibuni.

Paskali.
 
Kwa sasa mada zote mbili zimeishawasilishwa na sasa discussion ndio imeanza. Hapa ukumbini tuko kama watu 100, kati yao wazungu hawazidi 10 ila kuanzia presentations hadi sasa discussions inaendeshwa kwa lugha ya Kiingereza.

Hivyo mtanisamehe nikichapia chapia kwa kuwatajia tuu wanaozungumza bila kueleza wanazungumza nini, maana hizi lugha za watu.

Dr. Ally Possi anaendelea kuzungumza pia kisa cha Jamii Forums kwa yaliyomkuta Maxi yamezungumzwa.

Paskali
 
Me nna maneno machache tu,
"be careful, watch it kama mnadhani mna freedom ya kujieleza not to that extent"... Over
 
Aiseee wazungu hawazidi kumi lakini presentation ipo kwa lugha yao!!!??? Acha tuibiwe kila siku maana hatudhamini vyetu.
 
Asante Paskali, ngoja tufuatilie. Ila kwa ufupi hatuna uhuru wa kujieleza iwe kisiasa, kijamii au kielimu.
 
Msingi uwe " uhuru wako wa kuongea unaishia pale wa mwenzio unakoanzia"
Maana hakuna uhuru usio na mipaka.
 
Sasa anazungumza Zitto.
Anazungumzia sheria ya Cyber Law ilipitishwa kinyume cha sheria kwa sababu quorum haikutimia.

Zitto anasema freedom of expression haipo hata kwa wabunge ambao freedom of expression is guaranteed, wakisema bungeni baadae wanaitwa kwenye vyama vyao na kuulizwa kwa nini wamesema hiki na kile? .

Paskali
 
Wanabodi

Karibu Tujadiliane kuhusiana na Freedom of Expression in Tanzania.

Tuko kwenye ukumbi wa British Council ambapo Taasisi ya Policy Forum imealika watu mbalimbali kulizungumzia hili.

Mada kuu mbili zitawasilishwa
Presentation 1: Freedom of Expression: Legal Framework, By Anna Henga from Legal and Human Rights Centre (LHRC).

Presentation 2: Freedom of Expression: Situational Analysis, Paul Malimbo from Media Council of Tanzania (MCT)

Kisha imefuata discusion by Dr. Ally Possy - Lecturer at the Law School of Tanzania na Maria Sarungi-Director at Compass Communications Co. Ltd Tanzania.

Miongoni mwa waliohudhuria ni Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Zuberi Kabwe.

Karibuni.

Paskali.

Umeshamtaja Zitto, basi hapo ni punyeto tu...Zitto is an opportunist by profession na hafai hata kusikilizwa maana he never makes sense but thrives on scandals.
 
Back
Top Bottom