Karibu tena Prof. Mark Mwandosya...!

Mkuu hata hospitali ya taifa nayo ni inshu kuiwekea vifaa vya kisasa, madaktari bingwa kuwawekea mazingira mazuri ya kufanyia kazi! Wangekuwa serious basi wangetoa hata demo moja ya namna ambavyo hospitali zetu zinatakiwa ziwe siyo kuacha kabisa kwa kisingizio cha kurithi matatizo toka awamu zilizopita. Come on Mr. President, we are in 21 century its show time not blah blah time.

mkuu ndicho nilichokisema kwamba serikali ionyeshe nia ya kuyatatua and not kuongea pumba kama jana mhe baba ritz alivyoongea ''eti waalim hata wakigoma wanajua watacompasate hata weekend, so impact siyo kubwa kama ya madaktari hakuishia hapo akasema kuongeza mishahara ya ma dr na waalim eti ni jambo ambalo haliwezekani '' hivi kweli kama raisi waweza sema maneno kama haya kwa wanachi wako??? YAANI NIMETAFAKARI HII KAUALI HADI LEO NIKAJIKUTA NACHUKIA TZ GHAFLA aaaaaagggggggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!:redface::redface::redface:
 
duh huyu MCHAMBUZI ANAONEKANA NI PRO MWANDOSYA 100% POLE BUT MZEE MWANDOSYA UMRI UMEMUACHA KWA URAIS JAPO ANA BUSARA PIA KIAFYA BADO AJAKAA SAWA..TUMUOMBEE AWATUMIKIE WANARUNGWE VIZURI..
 
Back
Top Bottom