Karibu Tanzania Papa Yohane Paulo II

Karibu Tanzania Papa Yohane Paulo II

Mwaka 1990 Kanisa Katoliki nchini Tanzania lilipatwa na ugeni kutoka VATICAN.

Papa YOHANE PAULO WA PILI alidhuru Tanzania. Kanisa Katoliki Tanzania liliandaa kwaya Maalumu kwa ajili ya kumpokea Kiongozi huyo wa Kanisa Kubwa Duniani.

Ukiondoa Albamu ya MUIMBIENI BWANA WIMBO MPYA ya ST.PETERS , OYSTERBAY iliyotokwa mwaka 1992, Albamu ya " KARIBU TANZANIA BABA YETU YOHANE PAULO WA PILI " inachukuliwa kama albamu bora kabisa ya kwaya kupata kutokea katika Historia ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania .

Innocent Mushi ( Mtunzi wa wimbo wa MUIMBIENI BWANA WIMBO MPYA ambao ndio ulibeba albamu ya MUIMBIENI BWANA WIMBO MPYA ya ST.PETERS OYSTERBAY ) anasema " Kwa makuzi bora ya kimwili, kiakili na kiroho, kila familia ya kikatoliki inapaswa kuwa na albamu hii ( KARIBU TANZANIA...) ambayo inatakiwa kuwa inapigwa kila siku usiku watoto wasikilize.

Albamu hii ilikuwa na nyimbo 16 ambazo ni

1. Kristu Mashinda - Christus Vincit (Traditional)
2. Wewe Ndiwe Petro - S. Mujwahuki
3. Utukufu na Ukuu - J. Mgandu
4. Bwana Mfalme - J. Mgandu
5. Mimi Nimewachagua Ninyi - Fr. Malema
6. Roho Yangu - E. Nyundo
7. Bahati Gani Ee Ndugu - C. Matui
8. Umeniita Bwana - J. Simya
9. Bwana Yesu Waniita - Fr. S. Mutajwaha
10. Nimtume Nani - Fr. Ntapambata
11. Ninyi Nimewaita Rafiki - J. Mgandu
12. Nimemkuta Daudi - Fr. Ntapambata
13. Nendeni Duniani Kote - Fr. Ntapambata
14. Baba Aliwaambia Mitume - J. Simya
15. Wateule we Bwana - S. Mujwahuki
16. Ewe Mama Maria - P. F. Mwarabu.

Karibu Tanzania - YouTube

TUNAKIMBILIA ULINZI WAKO...............

Amina.

"Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni".
 
Mwaka 1990 Kanisa Katoliki nchini Tanzania lilipatwa na ugeni kutoka VATICAN.

Papa YOHANE PAULO WA PILI alidhuru Tanzania. Kanisa Katoliki Tanzania liliandaa kwaya Maalumu kwa ajili ya kumpokea Kiongozi huyo wa Kanisa Kubwa Duniani.

Ukiondoa Albamu ya MUIMBIENI BWANA WIMBO MPYA ya ST.PETERS , OYSTERBAY iliyotokwa mwaka 1992, Albamu ya " KARIBU TANZANIA BABA YETU YOHANE PAULO WA PILI " inachukuliwa kama albamu bora kabisa ya kwaya kupata kutokea katika Historia ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania .

Innocent Mushi ( Mtunzi wa wimbo wa MUIMBIENI BWANA WIMBO MPYA ambao ndio ulibeba albamu ya MUIMBIENI BWANA WIMBO MPYA ya ST.PETERS OYSTERBAY ) anasema " Kwa makuzi bora ya kimwili, kiakili na kiroho, kila familia ya kikatoliki inapaswa kuwa na albamu hii ( KARIBU TANZANIA...) ambayo inatakiwa kuwa inapigwa kila siku usiku watoto wasikilize.

Albamu hii ilikuwa na nyimbo 16 ambazo ni

1. Kristu Mashinda - Christus Vincit (Traditional)
2. Wewe Ndiwe Petro - S. Mujwahuki
3. Utukufu na Ukuu - J. Mgandu
4. Bwana Mfalme - J. Mgandu
5. Mimi Nimewachagua Ninyi - Fr. Malema
6. Roho Yangu - E. Nyundo
7. Bahati Gani Ee Ndugu - C. Matui
8. Umeniita Bwana - J. Simya
9. Bwana Yesu Waniita - Fr. S. Mutajwaha
10. Nimtume Nani - Fr. Ntapambata
11. Ninyi Nimewaita Rafiki - J. Mgandu
12. Nimemkuta Daudi - Fr. Ntapambata
13. Nendeni Duniani Kote - Fr. Ntapambata
14. Baba Aliwaambia Mitume - J. Simya
15. Wateule we Bwana - S. Mujwahuki
16. Ewe Mama Maria - P. F. Mwarabu.

Karibu Tanzania - YouTube

TUNAKIMBILIA ULINZI WAKO...............

Umnikumbusha mbali sana, hii album awezakuipata wapi?
 
Hayo ndio unayopata katika mafunzo ya uchawi?

Mama mkubwa are you serious? Mtu anatoa habari njema kama hii halafu wewe unamwita mchawi?
 
Hayo ndio unayopata katika mafunzo ya uchawi?

FaizaFoxy unaonekana unapenda sana mambo ya chimba fukia ( uchawi ). Post kuhusu uchawi nimeitoa muda mrefu sana, wengine wote wamesahau wewe tu ndo unakumbuka?. Anyway najua unatamani nifunguke kuhusu findings nilizozipata kuhusu masuala ya uchawi. FYI ninazo informations nyingi sana kuhusu UCHAWI & ULOZI, UGANGA & UGANGUZI but sintafunguka hapa. Najua hii ni habari mbaya sana kwako
 
Ulinzi wako , mzazi mtakatifu wa MUNGU usitunyime tukiomba katika shida zetu utuokoe Siku zote
kila tuingiapo hatarini ewe bikira mtukufu mwenye Baraka AMINA

Moyo mtakatifu wa yesu...Utuombee
 
mkuu mi sijaona wakitaja dula lolote. mi nipo sana mikoa ya dar na arusha, niambie wapi naweza kupata hii album mambo ya prder za mtandaoni nawaachia wabeba box

Unaweza kupata pale makao makuu ya Kanisa Katoliki, Mt. Yosefu (barabara ya Sokoine, mkabala na sehemu tunapopandia boti za Zenji). Kuna duka pale wanauza albam mbalimbali za kwaya hizo
 
Siku alipofanya Ibada kwenye viwanja vya Jangwani Dar ilizizima sio mchezo....
 
Attachments

  • POPE JOHN PAUL ARRIVING AT JANGWANI 1990.jpg
    POPE JOHN PAUL ARRIVING AT JANGWANI 1990.jpg
    175.1 KB · Views: 224
  • POPE JOHN PAUL AT JANGWANI 1990.jpg
    POPE JOHN PAUL AT JANGWANI 1990.jpg
    197.5 KB · Views: 218
  • POPE AND NYERERE TZ 1990.jpg
    POPE AND NYERERE TZ 1990.jpg
    75.6 KB · Views: 223
JF is never boring
 
Back
Top Bottom