LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,927
- 37,772
Mwaka 1990 Kanisa Katoliki nchini Tanzania lilipatwa na ugeni kutoka VATICAN.
Papa YOHANE PAULO WA PILI alidhuru Tanzania. Kanisa Katoliki Tanzania liliandaa kwaya Maalumu kwa ajili ya kumpokea Kiongozi huyo wa Kanisa Kubwa Duniani.
Ukiondoa Albamu ya MUIMBIENI BWANA WIMBO MPYA ya ST.PETERS , OYSTERBAY iliyotokwa mwaka 1992, Albamu ya " KARIBU TANZANIA BABA YETU YOHANE PAULO WA PILI " inachukuliwa kama albamu bora kabisa ya kwaya kupata kutokea katika Historia ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania .
Innocent Mushi ( Mtunzi wa wimbo wa MUIMBIENI BWANA WIMBO MPYA ambao ndio ulibeba albamu ya MUIMBIENI BWANA WIMBO MPYA ya ST.PETERS OYSTERBAY ) anasema " Kwa makuzi bora ya kimwili, kiakili na kiroho, kila familia ya kikatoliki inapaswa kuwa na albamu hii ( KARIBU TANZANIA...) ambayo inatakiwa kuwa inapigwa kila siku usiku watoto wasikilize.
Albamu hii ilikuwa na nyimbo 16 ambazo ni
1. Kristu Mashinda - Christus Vincit (Traditional)
2. Wewe Ndiwe Petro - S. Mujwahuki
3. Utukufu na Ukuu - J. Mgandu
4. Bwana Mfalme - J. Mgandu
5. Mimi Nimewachagua Ninyi - Fr. Malema
6. Roho Yangu - E. Nyundo
7. Bahati Gani Ee Ndugu - C. Matui
8. Umeniita Bwana - J. Simya
9. Bwana Yesu Waniita - Fr. S. Mutajwaha
10. Nimtume Nani - Fr. Ntapambata
11. Ninyi Nimewaita Rafiki - J. Mgandu
12. Nimemkuta Daudi - Fr. Ntapambata
13. Nendeni Duniani Kote - Fr. Ntapambata
14. Baba Aliwaambia Mitume - J. Simya
15. Wateule we Bwana - S. Mujwahuki
16. Ewe Mama Maria - P. F. Mwarabu.
Karibu Tanzania - YouTube
TUNAKIMBILIA ULINZI WAKO...............