JF Marketer
Member
- Jan 3, 2009
- 80
- 34
.....Nipende kuwafahamisha, Mh. Mdee ameitika ombi lenu. Baada ya shughuli zilizomtinga toka mwezi mmoja uliopita na baada ya shughuli za msiba huu atajitokeza hapa hadharani na kwa Jina lake halisi.
JF Marketer
asilete ubabe hapa. yeye bando njuka jf so anapaswa akajitambulishe jukwaa la utambulisho. hamna kumsemea mwingine. akileta mchezo anapigwa ban vilevile. ahakikishe anafuata sheria na kanuni za jf. ntamkaribisha akipiga hodi kama nnavyo wakaribisha wengine lakini ntafurahi sana kama kweli kajiunga. ova
True that, Mkuu na mi nitashangaa sana kama hii ni kweli, manake yule dizaini zake sio type za kuja kujichora hapa while all others enjoy their sweet privacy. How can u be invited to unravel your identity by someone calling themselves "JF market"! Incredible double standard.lakini mh mdee ni mtu anapenda privacy'sijui kama hii taarifa ina ukweli!
Swali kwa dada halima.
hivi karibuni wanafunzi waliofukuzwa na Mwalimu mkuu wa Ndanda kwa shindikizo la kanisa amaeamriwa awarudishe shuleni. lkn hadi sasa mwalimu mkuu huyo wa shule ya serekali amekaidi amri . waislam sasa wanapanga kuvuruga mtihani. njia hii hakuna tafauti na hatua wanazochukua Chadema ktk kudai haki zao, mfano Arusha na mauji ya wanachama wenu.
swali. unaonaje Mwalimu mkuu kwa kuwa anapewa nguvu na kanisa anakuwa na ujeuri wa kukataa Amri ya serekali?
Hivi kwanini Chadema hawataki na kuona waislam wanadai haki zao kama wanavyofanya Chadema kwa kusaidiwa na kanisa katoliki?
Yupo wapi?