Poa mkuu,kwa uzoefu wako a71 unaionaje mkuu?
hapana sijajaribu nasubiria washushe bei but nimechek youtube ipo vzr ina speed ya ajabu na camera kali kinoma
Hizi samsung A series zinazoishiwa na 1 bei zake sizielewi sana, A51 na A71 bei zake ghali sana. Kwa zaidi ya dola 400 mkuu unapata simu kali kama oneplus 7t zenye flagship Camera, soc, storage, ram etcPoa mkuu,kwa uzoefu wako a71 unaionaje mkuu?
Ahsante sana kiongozi,ubarikiwe 👏Hizi samsung A series zinazoishiwa na 1 bei zake sizielewi sana, A51 na A71 bei zake ghali sana. Kwa zaidi ya dola 400 mkuu unapata simu kali kama oneplus 7t zenye flagship Camera, soc, storage, ram etc
Hii simu nunua endapo bei yake ni chini ya laki 8 juu ya hapo achana nayo mkuu, ni mtego huu.
Ahsante kiongozi,Chief-Mkwawa kishanipa bonge la advise,👏Sifatiliagi kabisa midrange phones so nisikudanganye. Labda tumuulize Chief-Mkwawa anaweza kukusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi samsung A series zinazoishiwa na 1 bei zake sizielewi sana, A51 na A71 bei zake ghali sana. Kwa zaidi ya dola 400 mkuu unapata simu kali kama oneplus 7t zenye flagship Camera, soc, storage, ram etc
Hii simu nunua endapo bei yake ni chini ya laki 8 juu ya hapo achana nayo mkuu, ni mtego huu.
Sifatiliagi kabisa midrange phones so nisikudanganye. Labda tumuulize Chief-Mkwawa anaweza kukusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko poa mkuu Chukua kama unaiweza
12 ram,ultra ni 12/16..Duuh
Samsung galaxy s20 ultra price ni $1399..ikifika bongo tutauziwa 4.5milion..
Haiwezekani mzee labda iwe 250GB maana hiyo TB unaweka nn humo unataka ibebe vitu vya computer sasa.
Nimeona kuna option hadi ya nusu TB
1TB sio kwamba ni kubwa kihivyo..video sasa hivi zinarekodiwa kwa 4k na 8K kwahiyo storage ya labda nusu TB sio ya kutisha kwa watu wanaopenda kusave vitu kwenye simu zaoHaiwezekani mzee labda iwe 250GB maana hiyo TB unaweka nn humo unataka ibebe vitu vya computer sasa.
Unataka nini??