Karibu RENT A MAID cleaning services

Hiyo ipo kwenye mkataba, uhalifu wowote kampuni itahusika na fidia.
Uaminifu upo 100%
mie nataka ila wa kulea kichanga kabisaaaa.
nina mpango wa kuzaa cha mziwanda its true na naomba snowhite na cacico msiniseme.
ila nataka niwe na mdada aliyekuwa trained as nanny.
 
Toooba! biashara ya utumwa imerudi. Kumbe ndio nyie mnaowauza mahouse girl na kujipatia fedha zisizo halali. Tena mbaya zaidi mmekuwa mkiwalaghai na kuwatoa nyumba moja na kwenda kuwauza nyumba nyingine. Tumewastukia dawa yenu iko jikoni.

Nina maana kuandika hivi, kuna makampuni yamewaumiza sana watu......
 
serious kama hiki ulichokiandika ndicho kinachofanyika.
nazaa tena hadi wafike 10 mweeeehhhh!!
saa hizi hakuna kutapeliwa tena nauli za kuagizia mabinti
 
Hawa wapo trained hivyo tulionao wapo kikazi zaidi.
Eneo
Located at Bugando area plot No. 67, Block Z
Reg No. 416087.
 
Hawa wapo trained hivyo tulionao wapo kikazi zaidi.
Eneo
Located at Bugando area plot No. 67, Block Z
Reg No. 416087.
Nimecopy thread yangu ya mwaka jana ya kutafuta msichana nimeweka hapa kwenye uzi wako ili ujue nataka msichana wa sifa zipi. serious nitakuja huko Bugando leo
 
Ma houseboy hatuna soko kabisa.
ha haa. ni utamaduni uliozoeleka ila kama ni passion yako utafanya vizuri na siku zote changamoto walio wepesi huifanya kuwa fursa.
Follow your dream.
Never give up ndugu yangu life is very serious
 
na mtaka huyu huyu kwenye picha ndio atafaa kwa malezi ya mwanangu nakupigia mkuu
 
Unamtumikisha au ni mgawano wa majukumu? Ukifikia hatua ya kuajiri binadamu wenzako hayo ndo maendeleo, maana yake unagawa kazi.
mkuu tone tu ya tangazo inatoa picha. huuu uzi umetoa utu wa mwanadamu na kuwa kama kifaa
 
Unamtumikisha au ni mgawano wa majukumu? Ukifikia hatua ya kuajiri binadamu wenzako hayo ndo maendeleo, maana yake unagawa kazi.
Wewe ndo muelewa.
Tunahitaji jamii yenye watu kama wewe.
KEEP IT UP Dear
 
mie nataka ila wa kulea kichanga kabisaaaa.
nina mpango wa kuzaa cha mziwanda its true na naomba snowhite na cacico msiniseme.
ila nataka niwe na mdada aliyekuwa trained as nanny.
snowhite na cac...
.sijakuelewa mkuu.
Nieleweshe au nitafute 0769321005
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…