masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,922
- 13,247
Mmeanza!Yuko wapi sasa huyo Anna Tibaijuka?
Mimi ningependa kumuuliza ile bomoa bomoa yake ya pale mwanzoni alipoanza hii kazi yake ya sasa imeishia wapi?
Maana alikuja na kasi kwelikweli lakini sasa hatuisikii tena hiyo bomoabomoa. Kulikoni? Nguvu ya Mountain Dew au Fanta Pineapple?