Karibu Pemba marafiki zangu

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Karibuni nyote Pemba huu ndo usafiri wetu

11.jpg

13.jpg

14.jpg

3.jpg

7.jpg

9.jpg

17.jpg


Jamani karibuni sana Pemba tudumishe muungano.
Tayari tumesha oa bara sasa mje hata huku kusalimia wakwe zenu.
Pemba kuzuri jamani kuna kila aina ya vivutio.
Karibuni sana Pemba marafiki zangu nyoote.
 
hata kama mngekua na usafiri mzuri kiasi gani..mimi nikiona PEMBA tu nashtuka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom