mwantui JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 1,639 Reaction score 847 Nov 30, 2013 #2 Siwezi kuishi kwa umri nilionao sasa manake kwa jinsi nilivyozoea uswahili matusi ni viunganishi vya kawaida sehemu kama hii hapana kabisa.
Siwezi kuishi kwa umri nilionao sasa manake kwa jinsi nilivyozoea uswahili matusi ni viunganishi vya kawaida sehemu kama hii hapana kabisa.
life is Short JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 4,741 Reaction score 3,037 Nov 30, 2013 #3 kila mbuyu na shetani wake... Maisha ya uswazi siyo rahisi kubadilisha fasta!
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Nov 30, 2013 #4 hilo hekalu lote si ningekuwa too lonely...
Ladymasa JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 877 Reaction score 335 Dec 1, 2013 #5 Nlivyo zoea uswahili huko hapana chezea kabisa
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Dec 1, 2013 #6 aisee! mbona pazuri pakukaa....
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,575 Dec 1, 2013 #7 Mbali huko sana ila masela wangepapenda sababu wangekuwa "wanamoka" tu no kelele wala hofu!!!!!!
C cha' JF-Expert Member Joined Jun 22, 2013 Posts 466 Reaction score 115 Dec 1, 2013 #8 Huku nitammis sana jirani yangu, hakunifai. Mara nyingine nashindwa kuelewa wanatukanana, wanaongea kawaida, au ... mwantui said: Siwezi kuishi kwa umri nilionao sasa manake kwa jinsi nilivyozoea uswahili matusi ni viunganishi vya kawaida sehemu kama hii hapana kabisa. Click to expand...
Huku nitammis sana jirani yangu, hakunifai. Mara nyingine nashindwa kuelewa wanatukanana, wanaongea kawaida, au ... mwantui said: Siwezi kuishi kwa umri nilionao sasa manake kwa jinsi nilivyozoea uswahili matusi ni viunganishi vya kawaida sehemu kama hii hapana kabisa. Click to expand...