Karibu nyimbani

Karibu nyimbani

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,373
All the way from ntwara to dar nichukue nafasi hii kukutakia safari njema mume wangu kiwatengu mwenyezi mungu akutangulie ufike salama tumekumiss sana nyumbani.

Korosho muhimu na gass pia ukiweza kubeba usisahau solar maana tanesco sijui wanatudai kila kukicha giza.
NAKUPENDA SANA KARIBU FOR THE LONG HOLLY DAYS.........
 
Bha...! kumbe alikuwa N'twara... karibu nyuma (welcome back)
 
All the way from ntwara to dar nichukue nafasi hii kukutakia safari njema mume wangu kiwatengu mwenyezi mungu akutangulie ufike salama tumekumiss sana nyumbani.

Korosho muhimu na gass pia ukiweza kubeba usisahau solar maana tanesco sijui wanatudai kila kukicha giza.
NAKUPENDA SANA KARIBU FOR THE LONG HOLLY DAYS.........

hiyo "nyimbani" ndiyo ipo mitaa gani?
 
Last edited by a moderator:
All the way from ntwara to dar nichukue nafasi hii kukutakia safari njema mume wangu kiwatengu mwenyezi mungu akutangulie ufike salama tumekumiss sana nyumbani.

Korosho muhimu na gass pia ukiweza kubeba usisahau solar maana tanesco sijui wanatudai kila kukicha giza.
NAKUPENDA SANA KARIBU FOR THE LONG HOLLY DAYS.........

Ha ha haaaaaa! shansarie usijali mumeo kipenzi kiwatengu atakuletea gas na huu mgao we acha tu my hubby watu8 atakuja kusalimia na gas kidogo tupate japo ya kuwasha taa tu
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaaa! shansarie usijali mumeo kipenzi kiwatengu atakuletea gas na huu mgao we acha tu my hubby watu8 atakuja kusalimia na gas kidogo tupate japo ya kuwasha taa tu

We acha tu yaani asipoleta gas mi na yeye maana anajua kabisa shida tulonazo huku
 
Last edited by a moderator:
safari njema mdau.
dont forget to carry more rats!

afu shansarie hukutoa matokeo ya umiss kwanini?
 
Matokeo yalitoka dear nilikuwa mshindi wa pili waliniibia kura zangu nilizidiwa kura mbili tuuuuu. It was fun though
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom