Huseni Ali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 289
- 187
- Thread starter
- #321
Pole Sana mkuu lakini Kwa bei ninayo uza inanibidi nifanye Ivo wa moja moja bei ipo juu kidogoUnaweza anzisha kundi la whatsapp, humo ndani ukawaambia wateja wa pc mojamoja wanaweza kuungana ili wewe uagize mzigo unaendana na malengo yako, then ukishawaletea mzigo wanagawana.
Njia ya pili unaweza kuzipokea oda za pc mojamoja ukaziorodhesha na kusubiri hadi idadi ya walioagiza ifikie minimum quantity unayoweza kuagizia.
Lakini ukitaka kila anaeagiza lazima aagize pc 3 unatunyima haki sisi tunaotaka za mojamoja