Karibu nikusaidie kuagiza bidhaa kutoka United Arab Emarates (UAE)

NATHIBITISHA BILA SHAKA HUYU BWANA NI TAPELI KAMA TAPELI WENGINE!! MM NI MUHANGA.
Ukimya wake hapa kwenye bandiko lake ni bahati mbaya hapana ni kukimbia madeni ya watu au bizaa za wateja wake.
Mpaka nimefikia hatua hii ni baada ya uvumilivu wng wa miezi 2 ya kusubilia bizaa yangu.
Na hana customer care nzuri wakati mteja akisubilia mzigo wake.
Kwa niaba y wengine ambao wamezulumiwa nae mm pia nikiwemo nimeamua kusema ukweli kwajili y kuwapa ALETS wateja mtaibiwa pesa nae.
Mkalieni mbali kama UKOMA,COVID 19 ndio pona yenu.
Ushahidi utafata baada y muda kidogo au yy mwenyewe ajibu hoja,kama pia anaona anaonewa hapa hapa.
HUYU NI TAPELI
 
Ohooo. kimenukaaa
 
Back
Top Bottom