Karibu nikusaidie kuagiza bidhaa kutoka United Arab Emarates (UAE)

Unaweza anzisha kundi la whatsapp, humo ndani ukawaambia wateja wa pc mojamoja wanaweza kuungana ili wewe uagize mzigo unaendana na malengo yako, then ukishawaletea mzigo wanagawana.

Njia ya pili unaweza kuzipokea oda za pc mojamoja ukaziorodhesha na kusubiri hadi idadi ya walioagiza ifikie minimum quantity unayoweza kuagizia.

Lakini ukitaka kila anaeagiza lazima aagize pc 3 unatunyima haki sisi tunaotaka za mojamoja
Pole Sana mkuu lakini Kwa bei ninayo uza inanibidi nifanye Ivo wa moja moja bei ipo juu kidogo
 
I think tokea naanzisha huu Uzi nyote mnasubir ripoti subirini aisee afu wabongo walivo wambea lijitu likiibiwa lingekua lisha kuja umu

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
By the way now nimeacha kuchukua oda online mpaka mwenzang ambae yupo Oman atakaporudi Zanzibar. The only option ambayo nipo nayo ni western union. so nafikiri ni better mtu akasubiri mzigo tz Kwa bei different n ya online

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
Samsung S6 edge and s7 edge.

iPhone 8 and iPhone 11 Pro max bei zile zile

WhatsApp

0692119300
IMG_20200929_123058.jpg
IMG_20200929_123430.jpg


Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
Samsung S6 edge and s7 edge.

iPhone 8 and iPhone 11 Pro max bei zile zile

WhatsApp

0692119300

Hii namba ulishaambiwa haipatikani huko whatsapp, ama code number sio ya Bongo? Ni kama vile hautaki tunufaike na hii promotion mkuu, maana hautoi ushirikiano na hauko kibiashara sana.
 
Back
Top Bottom