Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,883
- 1,902
sipo shamba mkuu nipo nnje ya afrika ila nategemea kuja afrika kukaa shambani kwanguUnaonekana bado upo shamba. Unatapeliwa vipi Kwanz karne hii??
sipo shamba mkuu nipo nnje ya afrika ila nategemea kuja afrika kukaa shambani kwanguUnaonekana bado upo shamba. Unatapeliwa vipi Kwanz karne hii??
hamna shida kiongoziAhsantum mkuu. Karibu kaka
Aaah kua serious mzee baba.MBONA unatumiwa meseji WhatsApp haujibu?
Umekaa kimya yaani kama vile unalazimishwa kufanya biashara.
umeweka namba umesema ni WhatsApp TU.
Unatumiwa meseji HAUJIBU.
Heshma Kwakosipo shamba mkuu nipo nnje ya afrika ila nategemea kuja afrika kukaa shambani kwangu
Malipo first boss. Malipo baada kwa watu maalumu na wateja wa kila siku
Mkuu Sipo Dar
heshima yako pia mkuuHeshma Kwako
Lakini sijakulazimisha. KaribuUshanikosa mzee leta mzigo physical watu tupakue hii system yako ya kusepa na pesa za watu inatia shaka
Naheshimu mawazo yako kakaWatu lazima wapigwe hapa hahaha msiseme hamjaambiwa
Ahsantum kwa mawazoHadi sasa nimejiridhisha huyu bwana ni tapeli. Atakayeibiwa asije sema hakuambiwa.
Tuekee ushahidi Basi Ili tujue sote mkuu. Sio unapauka tuHadi sasa nimejiridhisha huyu bwana ni tapeli. Atakayeibiwa asije sema hakuambiwa.
Bwana ngariba Hiyo siijui bei yake. Nikiikuta Sharjah. Ntakupa mrejeshoLaptop mac used bei gani?
Sikuona message kaka Uniwie radhi. Nikipita madukani ntakupa feedback. KaribuNataka Bampa la Mbele ya GX110 njano ndefu, bei gani???
Buku mbili Kaka
Ko unakuja kutudanganya na picha za kudownload FB sio???
Haha vyotee Kaka, Kuna watu ndio wanatufanya tujibu ivi mkuu. Karibu Sana tuende sambambawewe ni mfanya biashara au mhuni
Mawazo yako ayo ndugu. NakuheshimuKo unakuja kutudanganya na picha za kudownload FB sio???