Karibu nikusaidie kuagiza bidhaa kutoka United Arab Emarates (UAE)

watu wanao nunua hawaongei sana na kuhoji hiwa wanajua bei za vitu na kitu wanachohitaji sio lazima ukawa unajibu kila swali mzee wengine ni kutiana hasira
 
watu wanao nunua hawaongei sana na kuhoji hiwa wanajua bei za vitu na kitu wanachohitaji sio lazima ukawa unajibu kila swali mzee wengine ni kutiana hasira
Hahaahaha, eeeh Najua aisee ila ntajibu kila swali analouliza. Wanaotaka bidhaa na malipo washafanya Wala hawahoji
 
Malipo first boss. Malipo baada kwa watu maalumu na wateja wa kila siku
hapa bwna pagumu,may be ungesema kuwa mzigo unafika mahal flan hiv unapo utuma kwa muhusika,au dreva wa gar akifikisha mzigo una mpa pesa yake unapewa mzigo wako mambo kwisha..pesa ww muuzaji na dreva mnakuja kujuana wenyewe..lakini kwa mfumo huu mtu anakuwa na nia ya kweli lakini akiwaza kutuma pesa kabla ya mzigo aisee watu wamelizwa sana.hebu fikilia wazo hilo
 
Karibu mkuu. Kila mtu na mawazo yake uwe na siku njema
 
Magazeti? Daily news?
Dah mkuu hapa umenichanganya aisee,Ni kwamba bandari moja inakuwa na kilo 35 au umemaanisha nn????

Tafadhali hebu nyoosha maelezo fresh basi tufanye biashara niambie nikihitaji mzigo wa magazeti naupataje kwa kuonana na ww???
Je mna ofisi ambapo nikitaka mzigo naweza kuja kuchukua au biashara inafanyikaje?
 
Naona bado watu wengi hawaamini amini hii biashara mkuu. Ingependeza kama wateja wa awali wangeleta mrejesho hapa ili iwe rahisi kuamini
 
Ukitaka kula ukubali kuliwa sasa wanaotafuta fursa za biashara umeseme waende google na wew si uende uko google ukatafute wateja roho mbaya aijengi na dubai ilikua zamani sasa kaa na huo uchafu wako atununui na atukuulizi kitu.
daadeki
 
watu wanao nunua hawaongei sana na kuhoji hiwa wanajua bei za vitu na kitu wanachohitaji sio lazima ukawa unajibu kila swali mzee wengine ni kutiana hasira
Acha ufala wewe.......

Watu wanauliza ili wajiridhishe

Unataka ukurupuke tu kisa umeona bei rahisi ndo utoe pesa yako haraka haraka

Ameulizwa.....anaweza vipi kulinda pesa ya mteja endapo mambo hayata enda vizuri kakaa kimya

Ndo unataka watu wasiulize maswali
 
Naona bado watu wengi hawaamini amini hii biashara mkuu. Ingependeza kama wateja wa awali wangeleta mrejesho hapa ili iwe rahisi kuamini
Yeye pia anajibu maswali simple simple tu

Ameulizwa anaweza vipi kulinda pesa ya mteja kama unforseen events ikitokea amekaa kimya

Je? Unafanya malipo kabla au baada ya kupokea bidhaa? Kimya

Baada ya malipo inachukua muda gani kupokea bidhaa yako? Kimya

Anadhani kutoa namba ya simu ndo solution

Anatakiwa aweke kila kitu wazi kama alivyo amauwa kutangaza
 
Back
Top Bottom