Karibu Mwanza

Karibu Mwanza

😂panachoniudhi mwanza mjini wanaongea kisukuma ova wote wanaelewa hyo lugha😏😏..mimi wakiniongeleshaga najibu kiswahil kwakweli
Hiyo ni lugha kama lugha zingine; na kama hutaki kusikia kisu-****; kaa mbali!
 
Saizi Kiwango cha UKIMWI Mwanza ni 8%, wanaikaribia Mbeya now
Ukizini lazima upate kilicho chako; mimi na Nahuja katu hatuachani. Kwa raha zetu!
 
hiko ni kama kijiji cha city niishio mimi...ila ahsante vipi nauli yake ni mia ngapi?
kutoka huku calfonia niishiko mimi...na vipi usafiri wake ni malori au bajaji?
 
Naunga mkono hoja, Na sisi tuandae party yetu kama walivyofanya wanaume wa Dar
 
Back
Top Bottom