Huu mji utakuja kuwa na foleni ya kufa mtu.Time will tell.
Kutokana na ukubwa wa hiyo barabara foleni haitazuilika kweli! Arusha tayari,Huu mji utakuja kuwa na foleni ya kufa mtu.Time will tell.
Umenikumbusha mbali mkuu...Malimbe moja...
Hatari Sana..mzee baba na na wewe unainyaka mitaa hiyo?Nyamalango unaikumbuka
Hatari Sana..mzee baba na na wewe unainyaka mitaa hiyo?
Dah poa poa..mitaa ya ng,aza kijiweni sweya..mpk nyegezi Kona..Nainyaka, luchelele
Dah poa poa..mitaa ya ng,aza kijiweni sweya..mpk nyegezi Kona..
Huu mji utakuja kuwa na foleni ya kufa mtu.Time will tell.