Karibu Mh Angela kairuki

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Kwanza tunakupongeza kwa jambo nzima la uhakiki pia napenda kunukuu maneno yako uliyo yasema bungeni kuwa march 1 itakuwa mwisho wa uhakiki ila litaeendelea sababu n swala endeleve
tunaomba uje kutupa report
1:gharama ya zoezi zima
2:faida wote tunajua limeondoa wafanya kazi hewa
3:madhara najua zoezi lolote lazima liache madhara mf kuna vijana wanasema limewa athiri
asante
 
Back
Top Bottom