Mgeni naomba ukaribisho

kisimbigile

Member
Feb 23, 2023
11
9
Hello,

Nashukuru kwa nafasi ya kujiunga JF. Nimekuwa ndugu msomaji na mtazamaji nikielimika na kuwa mnufaika wa makala maridhawa za forums mbalimbali pasi na kuwa member rasmi.

Hopefully hii itakuwa hatua muhimu pia kunifikia na kuwafikia.

Naomba mpokee utambulisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom