Karibu kwetu!

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,342
5,536
Mkazi mmoja wa Songea vijijini mkoani Ruvuma amemuua mkewe katika ugomvi wa kugombea shuka la kujifunika lenye upana wa futi moja na nusu. Kamanda wa polisi mkoani humu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuongeza kwamba, jamaa huyu alimpiga mkewe na kufariki papohapo jambo lililomfanya kuchukua kamba na kwenda kujitundika!

Kaazi kwel kwel!

Source: Habari na Matukio, RFA.
 
kuna wanaojiua kwa kugombania sh.hamsini
tena unakuta vijana wenye nguvu
ukijiuliza kwa nini hutopata jibu sahihi
ila ni maisha yako "taiti"
 
Dalili kuwa hali ya maisha ni mbaya kabisa, kama ni kweli
Labda walikuwa na ugomvi mwingine zaidi ya kugombania kujifunika,
Au mmoja alitaka kujifunika shuka mwingine akataka walale bila shuka?
Aaaahh, waTZ tumrudie Mungu
 
Back
Top Bottom